Genesis 3:19-20


19 aKwa jasho la uso wako
utakula chakula chako
hadi utakaporudi ardhini,
kwa kuwa ulitwaliwa kutoka humo,
kwa kuwa wewe u mavumbi
na mavumbini wewe utarudi.”

20 bAdamu akamwita mkewe Hawa, kwa kuwa atakuwa mama wa wote walio hai.

Copyright information for SwhKC